Lulu Diva Afunguka Kuhusu Penzi Lake na Rich Mavoko " Awezi Kunivunjia Swaumu Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lulu Diva Afunguka Kuhusu Penzi Lake na Rch Mavoko " Awezi Kunivunjia Swaumu Yangu
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa penzi lake na msanii Richard Martin ‘Mavoko’ haliwezi kutengua swaumu yake kwani anayajua maadili ya Mwezi Mtukufu.



Akizungumza na Risasi Jumamosi Lulu Diva alisema kuwa, japo Mavoko ni Mkristo, lakini hajaingilia funga yake kwani mara nyingi wanaonana baada ya futari tu na huwa ni kwa ajili ya maongezi ya kawaida na si vinginevyo.



“Unajua sasa hivi niko kwenye mfungo lakini siwezi nikasema nitaacha kumuona Mavoko mpaka mwezi huu uishe, itakuwa ngumu. Ninachokifanya kila ninapomaliza kufuturu namuona na uzuri anaheshimu swaumu yangu sana tu,” alisema Lulu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad