Obama Amshtumu Trump Kuwatenganisha Watoto na Familia Zao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Obama Amshtumu Trump Kuwatenganisha Watoto na Familia Zao
RAIS mstaafu wa Marekani Barack Obama aliitumia Siku ya Wakimbizi Duniani kumshutumu Rais wa Marekani,   Donald Trump  katika sera yake ya kuwatenganisha watoto na familia zao.

Obama aliyasema hayo kupitia mtandao wa Facebook akiuliza iwapo Marekani inakubali ukatili wa kuwatengenisha watoto na wazazi wao.

Aliongeza kwamba: “Tuthibitishe kupitia sera, sheria na vitendo vyetu kwamba tunathamini familia zetu na zingine zote.”

Former President Barack Obama used World Refugee Day to criticize President Donald Trump's policy of separating migrant children and families
Obama.

Rais Trump amekuwa akiendesha sera ya kuwatenganisha watoto wakimbizi na familia zao hasa wale wanaoingia Marekani, hili limo katika amri aliyosaini karibuni.

President Trump signed an executive order on Wednesday reversing the separation policy
Rais Trump.
Hata hivyo, utawala wa Obama uliwahi kuwaweka kizuizini watoto na familia zao wakati wakisubiri mashitaka mbalimbali.
Katika sera ya Trump, utawala wake umewatenganisha watoto 1,995 kutoka kwa wazazi wao 1,940 tangu Aprili hadi Mei 31 mwaka huu kufuatia matukio mbalimbali, yakiwemo ya uhamiaji.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad