Q Chief Utaniliza Usifanye Hivyo - TID

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkongwe wa BongoFleva Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID au Mzee Kigogo amesikitishwa na kitendo cha swahiba wake wa muda mrefu Q Chief cha kutaka kuacha muziki na kudai endapo atafanya hivyo atamuumiza moyo wake kwa kiasi kikubwa.


Mzee Kigogo ametoa kauli mbele ya kamera za eNewz kutoka EATV baada ya kusikia taarifa za swahiba wake huyo kutaka kuachana na kujihusisha masuala ya muziki kwa sasa bila ya kuwepo na sababu za msingi za yeye kutaka kufanya hivyo.

"Akiacha muziki bwana kipara 'Q-chief' itakuaje sasa, ebhana kipara usiache muziki baba utawapa nafasi. Yaani hapa kuna wasanii kibao wamejitokeza hivi karibuni lakini hawamuwezi kipara maana anajua kichizi, sasa anaachaje muziki wallah, roho inaniuma utanifanya nilie kwasababu yako 'please' usichukue maamuzi hayo", amesema TID.

Mtazame hapa chini TID akifungukia suala la Q Chief

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad