Rais Kenyatta Kukaguliwa Mali Anazomiliki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Kenyatta akubali kukaguliwa mali anazomiliki
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa watumishi wote wa umma ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe na naibu wake watafanya ukaguzi wa mali wanzamiliki ikiwa ni sehemu ya mapambano dhidi ya rushwa nchini Kenya.

Kenyatta alisema katika taarifa hiyo kwamba watumishi wa umma wataulizwa kuelezea chanzo cha utajiri wao na wale wanaopatikana na hatia na uharibifu wa rasilimali za kitaifa watahitajika kueleza chanzo cha utajiri wao.

“Lazima uweze kuelezea jinsi ulivyopata gari lako, nyumba yako na ardhi kwa kulinganisha na kile unachopata,” Kenyatta alisema katika jiji la Mombasa baada ya kuanzisha mradi wa barabara kuu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Top Post Ad