Kajala Atoka Povu Kisa Mwanaye Kukuzwa Umri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kajala Atoka Povu Kisa Mwanaye Kukuzwa Umri
MSANII mwenye mvuto wa aina yake Bongo Muvi, Kajala Masanja amesema hana muda wa kubishana na watu wa mitandaoni kuhusu umri wa mtoto wake Paula kwani yeye ndio mzazi na si mtu mwingine. Akizungumza na Amani hivi karibuni mara baada ya kumposti mwanaye huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumpongeza kufikisha miaka 16, Kajala alisema ameshangazwa na watu walioanza kumsema mwanaye kuwa ana zaidi ya miaka 16.
Picha inayohusiana
“Mimi naona kubishana na watu wa Insta ni kujisumbua kwa sababu mtoto nimemzaa mwenyewe lakini wanaibuka watu wanajifanya wanajua umri wake kuliko mimi, basi waendelee kuamini ni mkubwa zaidi,” alisema Kajala. Mtoto huyo Kajala amezaa na prodyuza wa Bongo Fleva, Paul Matthysse ‘P Funk’ ambaye walishamwagana kitambo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad