Mgunduzi wa Tanzanite Aliyepewa Milioni 100 na JPM Apelekwa India kwa Matibabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mgunduzi wa Tanzanite Aliyepewa Milioni 100 na JPM Apelekwa India kwa Matibabu
Mgunduzi wa madini ya Tanzanite, Mzee Jummane Ngoma ambapo amesafirishwa kwenda nchini India kupatiwa matibabu baada ya kupewa Shilingi Milioni 100 na Rais John Magufuli.

Rais Magufuli alitoa kiasi hicho cha pesa April 2018 wakati alipozindua Ukuta wa Mirerani ambapo alisema ugunduzi wa Mzee Ngoma ndio umeiweka Tanzania katika ramani ya madini hayo.

Kwa mujibu wa mtoto wake, amesema Mzee Ngoma amesafirishwa Jumatatu July 16,2018 kwenda katika hospital ya Apollo nchini India.

Mzee Ngoma amepelekwa nchini humo kwa sababu anasumbuliwa na maradhi ya kupooza.

Inaelezwa kuwa Mzee Ngoma aligundua madini ya Tanzanite miaka 52 iliyopita
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad