Kesi Aishtukia Yanga Asema Hawatampata

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kesi Aishtukia Yanga Asema Hawatampata
BEKI wa pembeni wa Yanga, Hassan Kessy ameshtukia mtego unaofanywa na viongozi wa timu hiyo na kutamka kuwa kamwe hawatampata baada ya kuwashtukia.

Kessy ni kati ya wachezaji waliomaliza mikataba ya kuendelea kuichezea timu hiyo mwishoni mwa msimu huu na kuanza mazungumzo ya kuichezea timu hiyo.



Beki huyo hivi karibuni ilielezwa kutimkia Klabu ya Nkana FC ya nchini Zambia katika msimu ujao baada ya kutakiwa na timu hiyo.

Akizungumza na Championi Jumatatu, Kessy alisema ujanja wanaotaka kuufanya viongozi wa timu hiyo ni kutaka kumfanyia usajili dakika za mwisho kabla ya dirisha kufungwa ikiwa ni kwa dau dogo wakiamini hatakuwa na sehemu ya kwenda.



“Ujanja wanaotaka kuufanya viongozi nimeshaushtukia wa kutaka kunikurupusha kusaini ikiwa ni siku chache baada ya usajili kufungwa kwa dau wanalolitaka wao.

“Mimi nitasaini Yanga kwa dau ninalolitaka ambalo tayari nimewapatia kama hawatakuwa tayari kunipa hiyo hela basi, nitaondoka zangu kwingine ikiwezekana hata kurudi Mtibwa Sugar,” alisema Kessy.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad