Mwanamke Anapokasirika au Kuwa na Hasira

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1) Kuna mwanamke ambaye akikasirika huishia kulia tu especially MKE ila siyo hawa ma girlfriend hawanaga huo mda siku hizi 😂

2) mwingine akichukia ataongea weee muda wote mpaka ikukere

3) Mwanamke mwingine akikasirika ananuna, haongei, mtapishana kimya kimya mawasiliano kibubububu shavu limejaa kama kobra!

4)harafu kuna hawa wengine akikasikrika hutafuta simu na kuanza kusearch namba za ma ex zake or michepuko na kupanga miadi ya kufanya uovu kwa nia ya kukukomesha.. 5) Mwingine akishikwa na hasira anafanya usafi nyumba nzima
6) Kuna wanawake ambao ole achukie. Atachokishika usipokimbia anakutandika nacho halafu majuto baadaye

7) Mwanamke mwingne akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunjavunja vyombo au saa nyingne kugombezagombeza wafanyakazi na watoto. Dizain hii huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia na waume zao!

8) Mwanamke mwingne ole akasirike mtajuana kitandani panapo majaaliwa. Nakwambia utaungama yote(future wife naomba tu uje uwe na hasira za hivi

9) Kuna ambao wakitibuliwa hukimbia kufunga mabegi na kuondoka

10) Wapo ambao wakikasirika wanagoma kupika

11) Wanawake wengne wakikasirika tumbo linakata mpaka kupelekea kuhara

12) Wapo ambao wakishikwa na hasira huingia kwenye maombi na kuugua kusikowezwa kutamkwa. Uchungu ukiisha wananawa uso na kwenda sokoni kuendelea na majukumu(wife material kabisa)

13) Yuko ambaye akishikwa na hasira wala haonesh kma kachukia tena anatabasamu hutajua kama amekasirika. Dizaini hii ni hatari sana anaweza hta kukudhuru
we ni yupi hpa?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad