T.I Amzawadia Mke Wake Gari ya Bei Mbaya Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

T.I Amzawadia Mke Wake Gari ya Bei Mbaya Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa
MKE wa rapa wa Marekani, T.I., aitwaye  Tameka ‘Tiny’ Harris,  amesherehekea bethidei yake ya 43 kwa kununuliwa gari ya bei mbaya na vikorokoro vingi vya thamani alivyovijaza kwenye gari hiyo ambapo naye alimjibu kwenye mtandao kwa ujumbe wa kumshukuru ulioandikwa:

Thank you so much Mr. Harris @troubleman31 for showing up on MY ACTUAL birthday & showing out! I really really love this car & all the other nice gifts & I just wanted to tell u how thankful I am. Regardless of whatever, you have done more for me & showed me more love than most will ever have a man to do/give in a lifetime & I appreciate you for that! By the way I’m having an amazing birthday! Thank you to everyone who made this day a special one!! 🙏🏽👑😘💘❤ #714#CancerSeason #17yrsWorthImage result for T.I. surprises Wife with New Car on her Birthday

Mnamo Desemba 1017, ilidaiwa Tiny alidai talaka, lakini imeripotiwa kwamba hakupewa talaka hiyo.  Naye T.I. aliposti ujumbe kwenye akaunti yaka ya Twitter usemao:

“What’s understood requires no explanation!!! I’m always here to show up and show out for mines. Regardless of WHATEVER!!! King ain’t never missed a beat!!! Happy Gday Mrs H.”

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad