Wanakijiji Waua Mambo 300 Kwa Hasira

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


INDONESIA: Wanakijiji wakiwa na visu, mapanga na nyundo wawaua Mamba takribani 300 ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi baada ya Mwanakijiji mwenzao kuuawa na Mamba

Mwanaume huyo aliingia sehemu wanakofugwa Mamba hao kwa lengo la kuchuma majani kwaajili ya mifugo yake

Kisasi dhidi ya Mamba hao kilianza kutekelezwa saa chache baada ya shughuliza mazishi ya Mwanakijiji mwenzao kumalizika

Mamba ni kati ya viumbe wanaolindwa kwaajili ya urithi wa dunia na kwa nchi ya Indonesia taasisi moja ilijenga sehemu maalumu huko katika Jimbo la West Papua kwaajili ya kuwafuga
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad