Wawili Wakamatwa na Kilo Saba za Tanzanite Mererani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wawili Wakamatwa na Kilo Saba za Tanzanite Mererani
Watu wawili mwanaume na mwanamke wamekamatwa wakiwa na madini ya Tanzanite kilogramu saba wakiwa wameyaficha kwenye Unga wa Ugali kutoka ndani ya ukuta wa mererani Simanjiro.

Akizungumza mkuu wa mkoa wa Manyara Alexender Mnyeti leo July 23.2018 katika kikao na watumishi wa halmashauri ya mji wa Babati ambapo alipokea taarifa kutoka Mererani kwenye simu yake juu ya kukamatwa kwa watu hao.

Mnyeti  alisema Jeshi la polisi  mkoani kwake linaendelea kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha inalinda rasilimali za taifa.

Hata hivyo thamani ya madini hayo bado haijafahamika.
Rc mnyeti anaendelea na ziara yake Babati mjini kwa siku tano ikiwa ni pamoja na kutembelea miradi ya Maendeleo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad