TRA Yatoa Onyo Kali kwa Wanaotoa Risiti Feki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

TRA Yatoa Onyo Kali kwa Wanaotoa Risiti Feki
Mamlaka ya Kukusanya kodi TRA imeonya wafanyabiashara wanaotoa risiti feki za EFD kwani hawataondolewa msamaha wa  riba  na adhabu kwenye malimbikizo ya madeni ya nyuma ya kodi,hivyo watachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.

Kamishna wa Kodi za ndani TRA Elijah Mwandumbya  amesema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara jijini Arusha ambapo amewataka wafanyabiashara kuepuka kutoa risiti feki kwani ni kosa kisheria hivyo serikali haitawafumbia macho.

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara mkoani Arusha TCCIA ,Walter Maeda wamesema kuwa wamemshukuru Raisi Maufuli kwa kuwaondolea madeni ya kodi za nyuma yakijumuisha riba na adhabu zake.

Kwa upande wake Mfanyabiashara Nicholous Duhia ameiomba serikali kupanua wigo mpana wa msamaha huo kwa wafanyabiashara wenye malimbikizo ya miaka ya nyuma ili waweze kuanza upya vizuri na kulipa kodi ili kuisaidia serikali kupata mapato yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad