Adhabu ya Viboko Kumbe Bado IPO Mashuleni...Ona Huyu Alivyochapwa Huko Arusha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


ARUSHA: Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari Kinana ajeruhiwa mkono baada ya kupigwa fimbo 12 na Mwalimu wake

Inadaiwa kuwa sababu ya adhabu hiyo ni Mwanafunzi huyo kukosea kujibu swali.

Mwanafunzi amedai kwamba Mwalimu huyo aliyetajwa kwa jina la Mkama aliacha kumuadhibu baada ya kuona ameanza kujeruhika.
TOA MAONI YAKO HAPA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad