Charles Mkwasa Afanyiwa Oparesheni Kubwa ya Moyo..... Atolewa Hospitali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Charles Mkwasa Afanyiwa Oparesheni Kubwa ya Moyo..... Atolewa Hospitali
MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa ambaye alifanyiwa oparesheni kubwa ya moyo hali yake ya afya kuendelea vizuri na sasa ameshatoka hospitalini.



Mkwasa ambaye alijiuzulu nafasi yake hiyo hivi karibuni kisha majukumu yake yakakabidhiwa kwa Omary Kaaya, sababu ikiwa ni za kiafya, alienda nchini India Agosti Mosi na kufanikiwa kufanyia upas­uaji Agosti 4, mwaka huu.



Akizungumza na Cham­pioni Ijumaa moja kwa moja kutoka India, mke wa Mkwasa, mama Betty Mkwasa alisema mumewe anaendelea vizuri kiafya na sasa wameshatoka hospitali na wapo kwenye hoteli lakini Mkwasa bado yupo chini ya uangalizi wa daktari ambaye anamhudumia.



“Anaendelea vizuri sana kiafya na sasa ame­shatoka hospitali, tupo hotelini licha ya kuwa bado yupo chini ya uangal­izi wa daktari Nilesh,” alisema Betty Mk­wasa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad