Karen Gadner Afunguka Baada Ya Picha Kuza Gumzo Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Karen Gadner Afunguka Baada Ya Picha Kuza Gumzo Mtandaoni
Msanii wa Bongo fleva kutoka THT anayefanya vyema na wimbo wa ‘Lawama’ Malkia Karen ambaye pia ni mtoto wa Mtangazaji wa Clouds Fm Gadner Habash amefungukia picha ili Goleta gumzo Kwenye mitandao.

Siku chache zilizopita Karen aliposti picha Kwenye ukurasa wake wa Instagram iliyomuonyesha akiwa amemuegemea Kwenye kochi Baba yake mara moja ilizua gumzo baada ya watu kudai haikuendana na maadili ya Kitanzania.

Kwenye mahojiano na Bongo 5, Malkia Karen amesema haoni tatizo na ile picha kwani alipigwa na marafiki zake ambao alikuwa nao ndani na hakuwa na maana mbaya kwani anampenda sana Baba yake:

Mimi binafsi sijaona kama ile ni picha mbaya na hata kwa Baba yangu sidhani kama ni picha mbaya .

Lakini pia Malkia Karen aliomba radhi kwa picha ile kama Iliwakera watu:

Ni kweli kila mtu anakuwa na mtazamo wake kwa sababu nikiposti picha watu wakaiona sio vibaya kusikia maoni ya watu na kama kuna watu wamekwazika kwa kuwa wameona kama sio maadili basi naomba wanisamehe Kwa kweli”.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hayo sio maadili ya kitanzania sijawahi kuona mtu akiwa karibu hivyo na baba yake sababu watoto wa kike Tanzania huwa wanawaogopa sana baba zao huwa wanakaa karibu na mama zao mimi mwenyewe wakati nakua nilikuwa namuogopa baba yangu nilikuwa naogopa kuongea nae sababu baba alikuwa mkali lakini nilikuwa simuogopi mama yangu nikiwa na shida yeyote nilikuwa naongea na mama yangu

    ReplyDelete
  2. zamani huyu demu alikuwa anaonekana mrembo kweli kweli lakini sasa hivi anaonekana mzee kweli kweli mpaka sikujua kama ndiyo yule mtoto wa Gadner du demu kazeeka akiwa bado umri mdogo

    ReplyDelete

Top Post Ad