Amber Lulu Adaiwa Kumwaga Matusi Mbele Ya Mashekhe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Amber Lulu Adaiwa Kumwaga Matusi Mbele Ya Mashekhe
Msanii wa muziki wa Bongo fleva anayefanya vyema na ngoma yake ya ‘Jini kisirani’ Amber Lulu amedaiwa kumwaga matusi ya haja mbele ya viongozi wa dini ambao walikuwa safarini.

Global Publishers wanaripoti kuwa Amber Lulu aliongelea maneno hayo machafu alipokuwa kwenye ndege anasafiri kutoka Mwanza kuja Dar Es Salaam ambapo Idadi ya mashehe waliosikia ‘domo’ la msanii huyo likimwaga mitusi ni saba, kibaya zaidi miongoni mwao alikuwepo Mufti wa Tanzania Abubakary Zuberi na Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, mashehe wanaoheshimika.Inadaiwa sakata hilo lilianza baada ya Amber Lulu kuanza kugombana na mtu aliyekaa naye siti moja baada ya kuomba Msanii huyo ahamishwe siti basi kusikia hivyo Amber Lulu alianza kuporomosha matusi mazito kwa Abiria mwenzake.

Kwa nini nikakae Kuna mtu kalipa milioni humu …(tusi zito)” sauti za “astaghfirullah” zikasikika kuashiria kuna watu walikuwa wakiomba msamaha kwa Mungu.

Kuashiria kwamba aliyekuwa akiombewa msamaha zaidi hajitambui akaporomosha tusi tena, kisha akanyanyuka kama mtu anayesema “mtanifanya nini?” Akaaga kwa sauti:

“Naenda chooni nilikirudi huko nataka kumjua aliyeniambia nihamie nyuma… (tusi zito tena) sauti za “astaghfirullah” zikafuatia”.

Haikujulikana kama ni ulevi au ndiyo akili za msanii huyo imepinda alianza kufanya mambo ambayo hayakuwa ya kawaida kwani alipotoka maliwatoni maziwa yake yalikuwa nje na hata sehemu nyeti za mwili zikionekana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad