Madiwani Dodoma Wacharuka Wataka Rais Amchukulie Hatua Mkurugenzi wa Halmashauri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BAHI, DODOMA: Madiwani wataka Rais Magufuli amchukulie hatua Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo(DED), Rachael Chuwa kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha za umma
-
Madiwani hao baada ya kufanya uchunguzi walibaini fedha zimetumika kunyume na utaratibu huku nyingine zikikosa maelezo
-
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Sostenes Mpandu amesema kamati ililenga kupitia matumizi ya fedha ya akaunti ya amana na mapato ya ndani baada ya kutokea utata
-
Ubadhirifu huo umebainika baada ya kupitia nyaraka mbalimbali zikiwemo ripoti ya kamati ya fedha za kila mwezi kwa mwaka wa fedha 2015/16, 2016/17 na Julai 2017 hadi Machi 2018; taarifa za benki; kitabu cha malipo na kufanya mahojiano na baadhi ya watumishi wa halmashauri.
-
Kiasi cha Shilingi Milioni 311.2 kutoka katika akaunti ya amana zilikopwa katika kipindi cha kati ya Julai 2015 hadi Septemba 2017 kinyume cha utaratibu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad