Christina Shusho Atoa Ujumbe Mkali Kwa Wadada 'Kadri Unavyoficha Mwili Wako ndio Unavutia'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Siri moja nayopenda kuwaambia wadada ni kuwa, kadri unavyoficha mwili wako ndio unavutia zaidi na kufanya watu wakutamani. Maana siku zote mtu anatafuta kile kisichoonekana lakini unapokuwa tayari umevaa nguo za ajabu unaondoa hiyo thamani.

Maana hakuna mwanaume ambaye anataka kuokota kimgomba tu kiko hapo au kijitu tu. Hata kama akija leo na unavaa nguo za ajabu atakuwa anakudanganya tu lakini in reality akiwa anamaanisha ataenda kwa wale wanaojihifadhi vizuri" Ujumbe kutoka kwa Christina Shusho , Muimbaji wa Gospel.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Amezungumza ukweli kabisa dada yetu, Mungu ambariki sana

    ReplyDelete

Top Post Ad