Kimebuma..Makontena ya Makonda Yakosa Wateja kwa Mara ya Tatu..What Next?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), leo imefanya mnada tena kwa mara ya tatu mfululizo wa makontena 20 yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, lakini yameshindwa kuuzika kutokana na wateja kushindwa kufika bei.

Mnada huo umefanyika bandari kavu ya Dar es salaam (DICB), ikiwa ni mwendelezo wa minada miwili iliyofanyika huko nyuma lakini hakuna hata kontena moja ambalo limefanikiwa kununuliwa.

TRA imepanga bei ya shilingi milioni 60 kwa kila kontena lakini wateja wameshindwa kufikia bei hiyo, wengi wakifika shilingi milioni 20 hadi 30.

Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya udalali ya Yono, Scolastica Kivela amesema wao kama madalali wanafanya jukumu lao kwa mujibu wa maelekezo waliyopewa na TRA hivyo hawawezi kupunguza bei bila maelekezo ya mamlaka ya mapato.

“Kila mnada wateja wanajitokeza lakini wanaishia bei zilezile za milioni 20 mpaka 30 kwahiyo mzigo huu wa samani haununuliki labda mpaka tupate maelekezo mapya kutoka TRA'', amesema
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad