Mama Daimond Amtupia Kijembe Hamissa Mobetto ''DUA Gani Unataka Kondoo?''

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Daimond Atupia Kijembe Hamissa Mobetto ''DUA  Gani Unataka Kondoo?''
Mama Diamond Platinum ametoa dongo kali ambao mashabiki kuhisi moja kwa moja limemlenga Mwanadada Hamissa Mobetto ambaye ni Mzazi mwenzake na Dai kwa kusema kuwa dua unataka kondoo wap?.

 Hayo yote yamekuja ni baada ya daimond kuposti video katika ukrasa wake wa instagramu ikimuonyesaha mwanadada mmrembo ambaye ajafaamika ni nani aliyejirekodi akiwa kitandani akicheza wimbo wa 'jibebe' na kuandika #usingizi.

Baada ya muda kidogo mama yake mzazi @mama dangote naye alirepost ile video na kuandika #mmemalizakuchamba ndipo macoment kibao yakamiminika kutoka kwa mashabiki wakimtolea povu huku wakidai anamsapoti mwanaye hata kwenye mambo mabaya.

Pia shabiki mmoja  akaanza kumshambulia kwamba wanamsema hamisa Mobeto kwamba yeye anataka kuroga wakati yeye alikuwa anataka amani na kusoma dua ndipo mama Daimond akamjibu kwa kusema Dua gani unataka kondoo wapi!?

Mashabiki wengine wakamshambulia kwa maneno haya
Siku huyo mwanao akifa utalia kilio cha mbwa nyodo zote zitakuishautaringia wapi, uwe unakumbuka dunia ni mapito ndipo mama Dangote akamjibu kwa kusema hivi hakuna asiyekufa  ww kwenu wote mpo.






-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad