Tunasahau Muda wa Kuishi Duniani ni Mchache Sana Ustaa, Fedha, Cheo Vyote ni Mapito- Steve Nyerere

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tunasahau Muda wa Kuishi Duniani ni Mchache Sana Ustaa, Fedha, Cheo Vyote ni Mapito- Steve Nyerere
Staa kutokea kwenye Bongo Movie Steve Nyerere ameamua kuandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa instagram na kuwakumbusha watu kumkumbuka Mungu ikiwa ni siku 28 zimepita toka msiba wa King Majuto utokee August 07,2018.

Ikiwa Steve Nyerere amezoeleka kuwa ni kiongozi wa kujitolea katika shughuli mbalimbali za kijamii kama misiba ameamua kutoa ushauri na kusema kuwa maskini wanapendwa kusikilizwa hata kama utakataa jambo lao.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Steve Nyerere ameandika “Tupo kwenye mapito ya kidunia sana,tunaishi kama tuna mkataba na Mungu hatuna hofu na Mungu,Tunasahau muda wa kuishi duniani ni mchache sana”

“Tunasahau muda wa ufufuo wa milele inategemea na yale mazuri uliyoyafanya ukiwa hai,FEDHA,CHEO ,USTAAA ,Vyote mapito POKEA SIKILIZA KATAAA MASKINI ANAPENDWA KUSIKILIZWA HATA KAMA UTAKATAA JAMBO LAKE”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad