Baada ya Kutemwa Simba Djuma Apata Shavu Timu ya Ligi Kuu ya Rwanda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba, Masoud Djuma amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha AS Kigali inayocheza Ligi Kuu ya Rwanda kuchukua nafasi ya Eric Nshimiyimana ambaye amejiuzulu kuifundisha klabu hiyo. 



Djuma ameondoka Simba baada ya kuwa kocha msaidizi kwa takribani mwaka mmoja lakini hivi karibuni ilitoka taarifa kuwa pande zote mbili zilikubaliana kuvunja mkataba. 



Kabla ya kujiunga na Simba, Djuma alikuwa kocha mkuu wa Rayon Sports ya Rwanda na aliondoka akiwa ameipa ubingwa wa Rwanda 2016/17. 



Amepata kazi fasta baada ya kurejea Rwanda huenda kwa sababu ya kufanya vizuri kwenye ligi kabla hajaondoka lakini pia uzoefu wake kwenye ligi hiyo kwa maana anajua afanye nini ili AS Kigali ifanye vizuri.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad