Ebutoke Aiumbua Timamu " Sijawahi Kupewa Gari wala Nyumba"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ebutoke Aiumbua Timamu " Sijawahi Kupewa Gari wala Nyumba"
Mchekeshaji Ebitoke amefunguka na kueleza ukweli wa yeye kupewa gari na nyumba na kundi la Timamu.

Kwenye mahojiano na Times FM amesema kuwa hajapatiwa vitu hivyo kama alivyoeleza hapo awali ingawa kwa sasa anajenga.

"Hivyo vitu nimekuwa nikiulizwa sana, ngoja niseme tu ukweli siku ya leo, mimi sina gari, sijapewa gari ila kuna kiwanja changu kipo nyumbani karibia namalizia kujenga," amesema Ebitoke.

Kwa sasa Ebitokea ameondoka kwenye kundi la Timamu baada ya kushiriki movie yake ya kwanza tangu kuanza kuigiza inayokwenda kwa jina la Sema ndani ya kundi hilo na uzinduzi wake wa awali ulifanyika Serena Hotel, Dar es Salaam.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad