Neno la MO Dewji leo baada ya kupatikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni siku tatu zimepita toka mfanyabiashara na bilionea kijana Afrika Mohammed Dewji apatikane baada ya kutekwa October 11 2018 akiwa nje ya Coloseum Hotel.

Dewji leo kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika ujumbe wa kuwashukuru watu wote waliofanikiwa kumuombea apatikane salama.



“Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuokoa maisha yangu. Pamoja na kupitia kipindi kigumu lakini daima amesimama upande wangu. Marafiki zangu, napenda kuwashukuru wote kwa maombi yenu na kunitakia kheri. Mungu awazidishie kwa wema wenu. Baraka za Mungu ziwe nanyi leo na daima”

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mohammed Dewji alitekwa alfajiri ya Alhamisi ya October 11 2018 akiwa Colosseum kwa ajili ya mazoezi ya utimamu wa mwili (Gym)
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad