Picha Za Irene Uwoya na Ommy Dimpoz Zazua Mazito

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha Za Irene Uwoya na Ommy Dimpoz Zazua Mazito
Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali Irene Uwoya amekuwa  anatrend sana Kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kuvunjika kwa ndoa yake na staa Bongo fleva Dogo Janja.

Siku ya jana Uwoya amerudi Kwenye headlines kwa ajili ya picha zake alizopiga na msanii mwingine wa Bongo fleva Ommy Dimpoz.

Ommy Dimpoz ambaye alikuwa mgonjwa kwa Miezi kadhaa baada ya kufunyiwa upasuaji wa koo nchini Afrika ya kusini.

Siku ya jana wawil hao wamezua gumzo Kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana wakiwa pamoja baada ya kila mmoja kiposti picha hizo Kwenye kurasa zao za Instagram.

Mashabiki wengi wa Uwoya walimtaka aanzishe Mahusiano na Ommy na kudai ndio anaendana naye kuliko hata Dogo Janja.



Wawili hao hawajaweka wazi sababu ya kuonekna pamoja kama ni wako ktika harakati za kuleta project ya pamoja au ni Mahusiano.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu dada nilikuwa nampenda sana lakini hizi tabia za kurukaruka zitamfanya heshima ipotee,ishi kama Shamsa Ford.heshima itabaki.ana umbo zuri lakini mwisho wa siku atakuwa hafai kwa tabia hizo.

    ReplyDelete

Top Post Ad