AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika Ziara hiyo aliongozana na Mawaziri wawili, waziri wa Tamisemi Selemani Jafo na Wilium Lukuvi.
Akihutubia mamia ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu alidai kutamani sana kusikiliza changamoto za wakazi wa Hai kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni Mbunge wao ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe lakini hakuwepo katika mkutano huo.
“Nilitamani mbunge wenu awe hapa atueleze mafanikio na changamoto zenu lakini hayupo, “ alisema Samia.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Ameonesha Dharau, na ameshindwa kuwadhihirishia wana Hai kwamba yeyeyuko mbele katika kutatua adha zao..!!!!
ReplyDeleteJe wasipo mpa Kula 2020 atamlaumu Kubenea au Mashinji manake Waitara amesha ona Jua na kanusurika.
Wana Hai oyeeeee!!!! Madiwani wa Hai Safiiiiii!!!
Kwani hawezi waita hao anaowahutubia wakamwambia matatizo yao mpaka mwakilishi? Mwakilishi anapeleka shida za wananchi bungeni.
ReplyDeleteWasipende kuwaaminisha wananchi kwamba viongozi wao hawawatumikii na kuwakilisha vyema. Aite wananchi wenye hoja ambazo zinawakabili awatatulie. Alienda onana na wawakilishi au wananchi?
ReplyDeleteWasipende kuwaaminisha wananchi kwamba viongozi wao hawawatumikii na kuwakilisha vyema. Aite wananchi wenye hoja ambazo zinawakabili awatatulie. Alienda onana na wawakilishi au wananchi?
ReplyDelete