JPM Akagua Magari ya Jeshi la JWTZ Yatakayosambaza Korosho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JPM Akagua Magari ya Jeshi la JWTZ Yatakayosambaza Korosho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo Jumamosi, Novemba 10, 2018 amekagua magari ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Kikosi cha Usafirishaji cha 95KJ.



Magari hayo yanaweza kutumika kubebea Korosho katika mikoa ya Kusini (Lindi na Mtwara) iwapo wanunuzi wa zao hilo hawatazinunua baada ya siku ya Jumatatu saa 10:00 kama alivyoagiza jana, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa siku 4 kuanzia jana Ijumaa hadi Jumatatu, Novemba 12, kwa wanunuzi wote korosho kupeleka barua Ofisini kwake kuonyesha tani wanazohitaji, lini watazichukua.



majaliwa alisema baada ya hapo hawatanunua tena korosho hizo, zaidi watafutiwa usajili wa ununuzi wa zao hilo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad