Lowassa Azuiwa Kumuona Zitto Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lowassa azuiwa kumuona Zitto polisi
Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe mkuu wa CHADEMA Edward Lowassa amezuiwa kumuona kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe anayeshikiliwa na polisi tangu jana Oktoba 31, 2018

Msaidizi wa zamani wa Waziri huyo Abubakari Liongo amethibitisha kutokea kwa tukio ilo na kudai kuwa walinda kwa lengo la kumsapoti na kutaka kujua hatma yake.

" Huyu ndio kiongozi mwenzetu na sisi wapinzani lazima tushikamane kukubaliana na lolote tunatakiwa kuwa pamoja tumeomba kibali cha kumuona Zitto tukakataliwa tumeambiwa kuwa muda wa kumuona umeisha"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad