Rais Magufuli: Dk Bashiru Alipingwa Ndani ya Chama Waakidai ni CUF

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Magufuli: Dk Bashiru Alipingwa Ndani ya Chama Waakidai ni CUFRais Magufuli leo akihutubia kwenye Kongamano la hali ya uchumi lililofanyika chuo kikuu cha Dar es salaama ameeleza kuhusu namna ambavyo alivyotaka kumteua katibu mkuu wa chama cha mapinduzi, Dk. Bashiru Ally alipingwa ndani ya chama hicho wakidai Dk. Bashiru ni CUF.

Rais Magufuli ameongeza kuwa licha ya baadhi ya wanaCCM kupinga yeye bado alisema anamtaka mwanaCUF ndani ya CCM ambaye kwa sasa anamsaidia sana. Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama video 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad