Baada ya Kuumiza Sana Kwenyewe Mapenzi Chemical Afunguka Mpango Wake wa Kujioa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Kuumiza Sana Kwenyewe Mapenzi Chemical Afunguka Mpango Wake wa Kujioa
Rapa wa kike bongo Chemical ameweka wazi mipango yake ya kujioa, baada ya kuona kashaumizwa sana kwenye mahusiano.


Akizungumzia project yake mpya na mwandishi wa www.eatv.tv, Chemical amesema ameamua kuja na idea hiyo kwenye kazi yake anayotarajia kutoa, hivyo watu wakae mkao wa kula kusubiri na kushuhudia jinsi anavyojioa na kujivisha pete.

“Nataka nijioe, nilishaumia 'thats why' nataka nijioe, wasubirie waone Chemical anavyojioa na kujivisha pete”. amefunguka.

Hivi karibuni rapa huyo aliweka wazi juu ya maumivu aliyopitia kwenye mahusiano yake, na kuamua kukaa bila kuwa kwenye mahusiano kwa muda.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad