Fid Q Awajibu Kiaina Diamond, Babu Tale Aonyesha Ndinga Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Fid Q Awajibu Kiaina Diamond, Babu Tale Aonyesha Ndinga Yake
Rapa mkongwe kwenye 'game' ya Hip hop ya Bongo, Fid Q , ameamua kuwajibu kivitendo watu waliomponda kuwa hana mafanikio yoyote kwenye muziki, kitu ambacho amedai kilimuumiza.


Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Fid Q ambaye mara nyingi huwa hapendi kuweka wazi maisha yake binafsi, amesema kwamba kauli ya kuambiwa hana maendeleo yoyote licha ya kuwa na 'influence' kwa vijana wengi, ameamua kuwajibu watu hao kivitendo na kuonyesha gari yake aina ya 'Jeep', ambayo ina mpaka Dj Set nyuma.

“Kuna kitu kilinigusa sana kwenda kusema kwamba mimi ni msanii mkubwa kwenye Hip hop nina 'influence', nawahamasisha vipi vijana waone kama hiki kitu inaleta maana, nikasema sawa labda nikionyesha hii kitu itasaidia kuwaeleza vijana”, amesema Fd Q.

Gari hiyo ya Fid Q, Jeep Cherokee inauzwa dola 33,320 ambayo ni sawa na zaidi ya milioni 76 za Tanzania
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad