Dudu Baya Ampa Ushauri Mzito Chid Benz 'Tanzania Ardhi iko Wazi Tunachimba Tunakuzika'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Msanii wa Muziki, Dudu Baya amempa ushauri Chid Benz kuacha kutumia madawa ya kulevya huku akidai kuwa kuna wasanii waliwashuhudia vifo vyao kwa kutumia madawa hayo.

Dudu Baya akiongea na Dizzim Online, amesema kuwa kama moyo wa msanii huyo haujayakataa madawa ya kulevya hakuna mtu atakaye weza kumsaidia.

"Namshauri Chid Benz kuacha madawa ya kulevya , kinacho nisikitisha alishuhudia kifo cha rafiki yake marehemu Mangweah madawa ya kulevya, Langa madawa ya kulevya ameshuhudia watu wanakufa lakini yeye ndio kaanza kuyatumia wakati wenzake walishakufa hakuna mtu atakaye kusaidia hata kama Rais Magufuli kama moyo wako hujayakataa madawa ya kulevya inabidi ayakatae madawa ya kulevya atarudi kwenye level zake," amesema Dudu Baya.


"Lakini akiendelea na staili hii, Alafu Tanzania tuna ardhi kubwa iko wazi tunachimba tunakuzika tu ," amesema Dudu Baya.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad