Kim Kardashian amuonya Drake kisa Kanye West

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Baada ya sakata kati ya Kanye West na Drake kuendelea usiku wa kuamkia leo December 14,2018 kupitia ukurasa wa Twitter wa Kanye, Kim Kardashian hakutaka mumewe kupewa vitisho na hivyo kuingilia kati ugomvi huo.

Kim Kardashian ametumia page take ya twitter kumuonya Drake kuacha kumtishia maisha Mume wake kwasababu jina la Drake limetokana na Kanye West kumtengenezea njia ya yeye kujulikana, tamko hili limekuja baada ya Kanye kudai kuwa Drake amekuwa akimpigia simu na kumpa vitisho.



Baada ya Kim Kardashian kumkingia kifua mume wake alitweet ujumbe mwingine na kusema kuwa mumewe ni mwenye akili nyingi amevunja rekodi kutoboa mipaka mingi sana kila kitu kwenye muziki, ubunifu wa jukwaani, mitindo na utamaduni na ataendelea kuibadilisha dunia.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad