Harmonize Ataja Siku ya Kufunga Ndoa na Mpenzi wake Sarah

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Harmonize Ataja Siku ya Kufunga Ndoa na Mpenzi wake Sarah
Msanii wa muziki Bongo, Harmonize ameweka wazi ni kipindi gani hasa ataoa baada ya kuonekana kwa kipindi kirefu akiwa na mpenzi wake, Sarah.

Muimbaji huyo akizungumza na Wasafi TV kutokea nchini Kenya ameeleza kuwa ataoa ufikapo mwaka 2025.

"Hapana, muda mwingi tunahitaji kujirusha mimi na mpenzi wangu, kwa hiyo nafikiri kuoa ni 2025 ila tunahitaji hata kuwa na watoto wawili," amesema Harmonize.

Kwa sasa Harmonize anafanya vizuri na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Paranawe ambao amemshirikisha muimbaji mwenzake kutokea WCB Rayvanny.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad