Ukitaka Usibambikiwe Mtoto Fanya Lifuatalo....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huu Ni ushauri kwa vijana wenzangu ambao tunatarajia kuwa na watoto siku/miaka ya karibuni na hasa baada ya kufunga ndoa.kama mnavyojua Hawa wanawake wetu wana Siri nyingi walizobeba kuhusu baba halisi wa watoto wake.unaweza ukamuoa mwanamke na mkapata mtoto mkiwa ndani ya ndoa lakini kumbe Toto Lile umebaishiwa vizuri tu Cha ajabu hutakuja kujua.kwa hiyo nimebuni mbinu yangu ambayo Ni sure lazima tu mtoto atakayezaliwa awe wako OG.

Unachotakiwa kufanya Ni baada ya kumuoa binti na Sasa mkawa katika period ambayo mnakutana kimapenz ili m produce kakopy chenu fanya hivi tafuta hela halafu mchukue mpeleke mbali huko hata mbuga za wanyama halafu huko mfanye Sana na hakikisha ma goal yote yanalenga nyavu.

Unaweza ukachukua hata likizo kabisa ili upate nafasi ya kutembea maeneo tofauti tofauti Leo mko mikumi week ijayo mko Kilimanjaro week ijayo mko Serengeti..hakikisha kote huko mko pamoja..

Tofauti na hapo ukisema umeoa halafu unaendelea kwenda kazini ukitegemea kwamba usiku utamkuta home bro utaibiwa..Kweli utamkuta home ila mchana wote ameshinda peke yake kama kukufanyia umafia ushafanyiwa..

Inasemekana mwanamke akiolewa tu ndo Majamaa zake wa zamani watazidisha usumbufu na wanakuwa warahisi kuwapata sababu hawana jambo tena...Sasa akipata tu chance ya kutoka nje ya nyumba umekwisha..na ikitokea akipata kibendi basi unabambikiziwa mume
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad