Hiki Ndicho Alichoongea Mchungaji Gwajima Mbele ya Magufuli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hiki Ndicho Alichoongea Mchungaji Gwajima Mbele ya Magufuli
Leo January 23, 2019  Rais wa Jahmuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na viongozi mbalimbali wa Dini Ikulu Dar es Salaam na kuongea nao.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima alipata nafasi ya kusimama na kuongea mbele ya Rais Magufuli.

“Mchungaji Lyimo ameshauri ziwekwe sheria ili madhehebu yapungue, mimi nina mawazo tofauti na yeye, ukiangalia baa zipo nyingi hadi wengine wananywea chini ya mti, na pombe imesemwa kwenye vitabu vya dini siyo nzuri kwetu sote, Wakristo na Waislam.

“Pale Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar kuna msikiti kwa ajili ya Waislam, nilikuwa naomba pia kujengwe pia Kanisa kwa ajili ya Wakristo kuabudu ili kuleta usawa. Suala la kuabudu ni muhimu sana katika mazingira ya kazi.

“Nakupongeza sana, umefanya jambo ambalo halijawahi kutokea katika historia, tumekuja kwa pamoja na kwa upendo kujadili mambo ya mbalimbali ya nchi Mungu atakusaidia sana na kukuinua sana katika utawala wako” – amesema Askofu Josephat Gwajima.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad