Rihanna Ampeleka Baba yake Mzazi Mahakamani Kisa Jina la Familia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mwanamuziki kutoka Marekani Robyn Rihanna Fenty alimaarufu Rihanna amshtaki Baba yake Mzazi (Ronald), kwa kosa la kutumia chapa ya familia “Fenty” kinyume cha sheria kwa lengo la kujiingizia kipato kwa kufungua kampuni yake “Fenty Entertainment”. Mtandao mmoja nchini Marekani umeripoti kuwa mwimbaji “Rihanna Fenty” amempeleka Baba yake Mahakamani akidai anatumia umaarufu wake kutengeneza kipato akiwa na mfanyabiashara mwenza, Moses Perkins.



Mzee Fenty amekuwa akifanya kazi kama wakala wa Riri kinyume cha sheria, na tayari amepata show ya dola million 15 ambayo ni ziara pamoja na matamasha mawili huko Latin America. Show nyingine ni za Staples Center mjini Los Angeles, T-Mobile Arena mjini Las Vegas zote mbili akivuta mkwanja wa dola 400,000


Rihanna ameenda mbali zaidi na kutaka fidia toka kwa mshua wake, pia ameitaka Mahakama kusimamisha shughuli za kampuni hiyo ambayo ilianzishwa mwaka 2017, pamoja na yote hayo Rihanna ametangaza kuja na accessories zake ambazo zitaingia sokoni hivi karibuni.

By Ally Juma.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad