VIDEO: Davido Avunja Rekodi Sasa Anaungana na Rihanna, Kanye, Drake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Wizkid kufanya maajabu ya kujaza Uwanja wa O2 mjini London Uingereza mwezi June 2018 sasa ni Davido kwenye rekodi hiyo nyingine baada ya kujaza watu 20,ooo na kuuza tiketi zote( SOLD OUT).

Davido anashika nafasi ya pili kwa ujumla kuujaza uwanja huo wa O2 baada ya Wizkid na anavunja rekodi ya kuwa msanii wa kwanza mwenye umri mdogo kutokea katika Bara la Afrika kuujaza uwanja huo.

Davido anaungana na wakali wengine kama Rihanna, Kanye West, Adele, Drake Elton John, Celine Dion Britney Spears ambao waliwahi kuujaza uwanja huo.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad