Header Ads Widget


VIDEO: Haji Manara Aingia Woga Mechi na AS VITA, "Mchezo ni Mgumu, Hatusemi Tunaenda Kushinda"

Msemaji wa klabu ya Simba, Haji Manara amefunguka kuhusu mechi yao ya pili kwenye hatua ya makundi dhidi ya AS Vita ya Congo. Manara amesema kuwa mchezo huo utakuwa mgumu hivyo hawana uhakika kama watashinda au watafungwa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI

Post a Comment

0 Comments