Mbunge Kibajaji Aja na Mpya..Amtaka Zitto Kabwe Kuacha Kuiga Siasa za Marehemu Mtikila

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


-
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji amemtaka Zitto Kabwe kuacha kutumia siasa za kushinda Mahakamani kama zilizokuwa zikifanywa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha DP, Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila
-
Kibajaji amesema hayo jana katika mkutano wa Wabunge wa CCM na waandishi wa habari kuhusu kauli ya Zitto kuwa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ukienda Bungeni utapita sababu Wabunge wa CCM wengi ni makasuku
-
Amesema “Yaani yupo ACT Wazalendo lakini akili anazotumia ni za hayati Mtikila, nadhani mke wa Mtikila kama kungekuwa na sheria ya kusimamia stahiki za mumewe ana uwezo wa kumshtaki Zitto ili aweze kumlipa fidia."
-
Kuhusu kauli ya Zitto amesema “Unawezaje kusema sheria hii ikienda Bungeni itapita sababu Wabunge wa CCM ni makasuku wakati yupo mkewe(Halima Bulembo) na mkwewe(Abdallah Bulembo), Zitto anapaswa kujitafakari upya."
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad