Bibi Harusi Wa Ben Kinyaiya Azua Kizaazaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bibi Harusi Wa Ben Kinyaiya Azua Kizaazaa


Siku ya jumamosi Mtangazaji mkongwe wa televisheni Ben Kinyaiya alifunga ndoa na ya kiserikali na mwanamke ambaye anatajwa kuwa mchumba wake wa siku nyingi baada ya picha zao kuonekano katika mtandao wa kijamii siku ya jana.
Bibi Harusi Wa Ben Kinyaiya Azua Kizaazaa

Mara Baada ya picha hizo za hatusi kusambaa kwenye Mitandao ya kijamii mara moja maneno yaliibuka kutokana na muonekano wa bibiharusi ambapo wapo waliodai kuwa mwanamke huyo ni mtu mzima kuliko Ben Kinyaiya ‘Shuga Mama’.


Lakini pia kuna maneno yaliyosambaa kuwa huenda harusi hiyo ilikuwa ni muvi kwani mashabiki hawakuamini kuwa mwanamke yule Ndiye mke mtarajiwa wa staa huyo.

Hizi ni baadhi ya picha za harusi zinzaowaonyesha maharusi hao wakifurahia siku yao maalumu:


.


.


.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad