Harmonize Adai Kuwa Yeye na Diamond Wanamiliki Hisa Sawa Sawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa muziki wa Bongo fleva Harmonize amefunguka na kuweka wazi yeye na Bosi wake  Diamond Platnumz wanamiliki hisa pasu kwa pasu kwenye kampuni ya Zoom Production.

Kwenye mahojiano aliyofanya na kituo cha redio cha A FM cha jijini Dodoma, Harmonize ameanika ukweli ambapo amesema kuwa wote wawili wamegawana hisa sawa kwa sawa.

Wazo la kuanzisha Production company ni langu na nilipolipata nilienda Africa ya kusini na Marekani kununua kamera na baadae nikaja kusambaa Diamond, Bro! mimi naona tunapoteza hela nyingi sana kwenye video, mimi nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya Video Productions wewe unaonaje?“

Harmonize amesema Diamond akakubali wazo hilo na kwa kuwa alikuwa ameshanunua kila kitu alivyorudi Bongo alimrudishia nusu ya manunuzi na kwa muda huo anasema kuwa alikuwa ameshmtafuta Director Kenny.

Zoom Production ni moja ya kampuni zinazofanya vyema kwenye ulimwengu wa Burudani na haimilikiwi na Diamond pekee ilivyoaminika hapo awali bali na Harmonize pia ana mkono mule.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukweli Ni kwamba.. huyu hamuangalii Mzazi wake Ipasavyo ndiyo Maana
    akashuka vibaya..
    Kwa sasa si Kificho tena.. Hamonaizi Yuko Juu Sanaaaa..
    Hata mke kapata Mzungu... sasa hivi akifungua Lebo Yake Katusua..!!

    ReplyDelete

Top Post Ad