Mange Kimambi Ataka Watanzania Wampuuze na Kumu Unfollow Dudu Baya Baada ya Kuonekana Kufurahia Kifo cha Ruge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamuziki wa Bongo Flva Dudubaya amekuwa tofauti na watu wengine baada ya kufanya jambo la ajabu kwa kupost Video katika mtandao wake wa Instagram akifurahia kifo cha Ruge...

Mange Kimambi amechukizwa na hilo na kuamua kuwaambia watu wamfollow na kumpuuza:

Reposted from @mangekimambi_  -  Huyu mtu ni kichaa mangunge,, mtabaki mnalalamika weeee ila the more mnalalamika kwa kumjazia macomments the more mnazidi kumpandisha chati. .
.
Watanzania jamani vitu vingine tuwe na msimamo. Mnalalamika alafu bado mnamfollow kweli mnajielewa? As long as mnamfollow hawezi kuacha. Alafu kila mtu ana repost ujinga wake kumtukana hivi mnadhani huyo mkimtukana anapungukiwa na lolote? Anafurahi mnavyfanya ana trend. Anafanya kusudi ili tu aongelewe..
.
Kinachotakiwa ni watu wote kumu-unfollow. Huyu ndio dawa pekeee ya kumfanya apotee kwenye ramani. Ila kwa vile watanzania hatuwezi kuishi bila upuuzi hili swala ya kumu unfollow dudubaya litafeli.
.
.
Sometime tujifunze kutumia akili, Hivi mnadhani mnavyomcomentia matusi elfu 2 ndio mnamkomesha?  Yani mtu anapoteza time kuandika risala ndefuuuuu kwenye posti ya Dudu Baya kumdhihaki marehemu Ruge lakini bado anamfollow, hivi hiyo ni akili au matope? Kama hupendi why bado unamfolloow? Utapungukiwa nini kwenye maisha yako usipomfollow?
.

As long as wewe unamfollow Dudu Baya mpaka dakika hii ujijue na wewe ni sehemu ya tatizo na ujijue wewe pia ni mmoja wa wanaomuwezesha Dudu Baya kumtukana marehemu. Tena wanao comment pale ndo kabisa mazero Brain. The more mnajazia macomment the more mnamjaza sifa za kuendelea kumdhihaki marehemu. .
.
Huyu angefanywa mfano kuwa kweli watanzania wanaweza kumu unfollow mtu ambae anaweza kutukana marehemu hata kuzikwa hajazikwa.

Ila hakuna wajinga kama wanao repost upuuzi wake. Kama hii video ya Ruge Watai-repost mpaka itrend insta wakidhani wanamkemea kumbe wanamuongezea umaarufu. Yule mtu ilibidi kila mtu ajifanye haoni ujinga anaoposti, hakuna kucomment hakuna kumfollow hakuna kurepost, hapo ndio ataacha.  Ila watanzania kuacha kumfollow mpuuzi kama Dudu Baya ni mtihani mkubwa kwenu 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad