Dah Maskini Kibonde..Alijitabiria Kifo, Aacha Magari Mawili Kwa Fundi na Kulipa Cash "Siijui Kesho Yangu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Siku chache kabla ya kuelekea Bukoba kumzika Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, Clouds Media, Ruge Mutahaba, marehemu Ephraim Kibonde alipeleka gari zake Texxas Baywash zikabadilishwe rangi lakini hakutaka kutoa advance alilipa cash huku akimwambia fundi (Evance) sijui kesho yangu ngoja nikulipe yote.

"Yah ni kweli alileta gari yake sijui nisemaje ni mtu mwenye roho ya ajabu sana mpaka mauti yanamkuta alikuwa anajijua na ni wachache waliobarikiwa kujua safari zao za mwisho, " alisema.

"Kwanza alileta gari za aina mbili ili kubadilisha kwa mtazamo wa aina mbili tofauti, katika muelekeo wa kulipana jamaa kama alijua, akasema Bro sisi ni binadam hatujui kesho zetu let me pay you interm of cash sitaki unisumbue kesho kwasababu kesho yangu mimi siijui ndio akasafiri kwenda kwenye msiba," aliongeza Evance.

Mtangazaji huyo alifariki akiwa Mwanza, alianza kusumbuliwa na Presha toka Bukoba kwenye msiba wa Ruge Mutahaba na kuhamishiwa Mwanza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad