Jimmy Carter Avunja Rekodi ya George H. W Bush

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jimmy Carter avunja rekodi ya George H. W Bush
Rais wa 39 wa Marekani, Jimmy Carter, ameweka rekodi ya kuwa Rais Mstaafu wa kwanza duniani, ambaye ameishi kwa muda mrefu baada ya kutoka madarakani.

Carter mwenye umri wa miaka 94, amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Hayati George H. W Bush.Carter aliiongoza Marekani kuanzia Januari 20, 1977 hadi Januari 20, 1981. Jimmy Carter aliingoza Marekani toka January 20, 1977  haidi January 20, 1981 alipostaafu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Carter mwenye umri wa miaka 94, amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Hayati George H. W Bush.Carter aliiongoza Marekani kuanzia Januari 20, 1977 hadi Januari 20, 1981. Jimmy Carter aliingoza Marekani toka January 20, 1977 haidi January 20, 1981 alipostaafu. NON SENSE.....

    ReplyDelete

Top Post Ad