Mdee aeleza sababu iliyomkimbiza Lowassa CHADEMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mdee aeleza sababu iliyomkimbiza Lowassa CHADEMA
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee amesema kwamba hakutoa neno lolote baada ya Lowassa kurudi kwenye Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa anatambua changamoto anazozipitia kiongozi huyo kwa sasa.


Mdee amefunguka hayo wakati akijibu swali kuhusu maoni yake kufuatia aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mgombea huyo wa Urais mwaka 2015 kwa mwamvuli wa Ukawa, tangu aliposema 'amerudi nyumbani'.

"Natambua changamoto nyingi anazopitia za kifamilia na kibiashara, akalazimika kuomba po! sikuona haja ya kusema chochote nikiheshimu uamuzi wake. Najua nafsi yake inavuja damu ya usaliti kwa waliompa heshima na ‘kumrudishia uhai’"Halima James Mdee.

Edward Lowassa alirejea Chama cha Mapinduzi (CCM) Ijumaa, ya wiki iliyopita  na kupokelewa na uongozi wa juu wa chama hicho akiwemo Mwenyekiti, Dk. Joh Pombe Magufuli.



Baada ya kurejea CCM, Lowassa hakuzungumza chochote zaidi ya kusema tu kuwa, "nimerudi nyumbani".

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad