Niki wa Pili Afunguka Jinsi Alivyosomeshwa Chuo Kikuu na Ruge

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Niki wa Pili Afunguka Jinsi Alivyosomeshwa Chuo Kikuu na Ruge
IKIWA imepita wiki moja tangu afariki dunia Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba, staa wa Bongo Fleva, Nickson Simon amefunguka kuwa alisomeshwa naye elimu ya chuo kikuu (UDSM). 



Akizungumza na Risasi Vibes, Nikki ambaye ni memba wa Kundi la Weusi alisema kuwa, wakati anasoma Shahada ya Uzamivu (PHD) alikutana na Ruge na kumuulizia elimu yake.



“Nilikutana naye akaniuliza hivi unasoma nini chuo kikuu nikamwambia Shahada ya Uzamivu basi akasema kuwa anapenda watu wanaojituma katika kusoma nikaachana naye.



“Siku mbili mbele nashangaa wanakuja watu na kuniambia kuwa wametumwa na Ruge kwa ajili ya kunilipia ada yote,” alisema Nikki
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad