Mama Ruge Afunguka "Afadhali RUGE Ametuachia Watoto, Asingekuwa na Watoto Tungeumia zaidi"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama Ruge: Afadhali Ruge ametuachia watoto, asingekuwa na watoto tungeumia zaidi

Ikiwa ni siku mbili toka mazishi yapite ya aliyekuwa Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji wa CloudsMedia, Ruge Mutahaba, Jumatano hii Mama mzazi wa marehemu amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali pamoja na kuwashukuru Watanzania kwa kumpatia heshima kubwa mtoto wake.

Akizungumza na mahojiano maalum na Clouds Media, Mama Ruge alisema mwanae huyo alikuwa anawapenda sana watoto wake na wao ndio kitu wanachojivunia kwa sasa.

“Ni wajuu wazuri, watakuwa Mungu atawasaidia, watasoma,” alisema Mama Ruge. “Afadhali ametuachia wajukuu, tunamshukuru Mungu. Angeondoka bila kuwa na mtoto tungeumia zaidi, lakini tunamshukuru Mungu ameacha watoto, watatufuta machozi,”
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad