Jeshi la Polisi Lakamata Majambazi Watatu Waliovunja Duka Kariakoo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

JESHI la polisi limefanikiwa kuwatia nguvuni majambazi watatu kati ya sita wenye silaha waliovamia duka la Almore Flight Services Ltd, usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita kwa lengo la kupora mali eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.



Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa,  amesema watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi pamoja na wenzao waliokimbia baada ya mapambano makali na polisi waliofika hapo, wanaendelea kusakwa na watafikishwa  katika vyombo vya sheria.



Aidha, Mambosasa  ametoa onyo kwa wale wote wanaokusudia kuvuruga biashara katika eneo la Kariakoo ambalo ni kitovu cha biashara nchini.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad