AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
" Changamoto kweli ipo kwa Golikipa lakini tunapompa nafasi tena anazidi kuimarika na kujua kuwa alikosea wapi katika mchezo uliopita " Mirambo
Mirambo aliongeza kuwa japo wamepoteza mchezo wa jana lakini bado Serengeti boys ina nafasi ya kufanya vizuri kwa michezo miwili iliyobaki.
Pia alisisitiza kuwa muda huu sio wa kuwalaumu vijana kwa kutofanya vizuri , sasa ni wakati wa kuwaweka sawa ili waweze kufanya vizuri katika michezo iliyobaki.
"Tunachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuweza kuwaweka sawa watoto ili wasahau yaliyopita na kujiandaa na mechi zilizobaki" Mirambo
Tanzania atakuwa Mgeni wa Uganda katika mchezo unaofuata utakaochezwa April 17 mwaka huu saa 11.00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa na mechi ya mwisho watacheza na Angola April 20.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK